TP Mazembe Wameimarisha Matumaini ya Yanga Kufuzu Nusu Fainali ya CAF

Unknown Thursday, 28 July 2016 0

Maombi na furaha ya watanzania wote wazalendo ni kuona Yanga ikifanikiwa kuingia katika hatua ya nusu fainali ya michuano ya Kombe la sh...

Arsenal wanahitaji zaidi ya Sanchez na Ozil : COLLYMORE

Unknown Monday, 25 July 2016 0

Arsenal wanahitaji kufanya usajili zaidi kutokana na kukosa wachezaji wenye ubora wa juu huku Mesut Ozil, Alexis Sanchez na Granit Xhaka...

Video: Cristiano Ronaldo akiwa kwenye show ya Jennifer Lopez Las Vegas

Unknown 0

Mshambuliaji wa Ureno Cristiano Ronaldo ambaye hivi sasa yupo likizo baada ya michuano ya Euro 2016, July 24 2016 alioneka akiwa Las Vegas,...

Kolo Toure amesajiliwa rasmi na klabu ya Celtic ya Scotland

Unknown 0

Beki wa kati wa kimataifa wa Ivory Coast aliyewahi kuvichezea vilabu vya Arsenal, Man City na Liverpool Kolo Toure, mwenye umri wa miaka ...

Zlatan ampokonya namba Anthony Martial

Unknown Friday, 22 July 2016 0

 Namba za awali za wachezaji wa Manchester United kwa ajili ya msimu ujao zimetangazwa. Hii ni habari kubwa kwa sababu kadha wa kadha. Kw...

VIDEO: Jose Mourinho alivyogoma kusaini jezi ya shabiki wa Chelsea China

Unknown 0

Manchester United kwa sasa ipo China kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa Ligi Kuu na mashindano mbalimbali, kama ilivyo kawaida kwa m...

Taifa stars kuikabili Super Eagles.

Unknown 0

Kocha Mkuu wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Charles Boniface Mkwasa Julai 26, 2016 anatarajia kutangaza kikosi kwa aj...

Darasa: Bila mimi hakuna Mavoko

Unknown Thursday, 21 July 2016 0

                                                  Sharif Ramadhani ‘Darasa’ MWANAMUZIKI wa Hip Hop Bongo anayetamba na Ngoma ya Too Mu...

Pogba aomba kuhamia Manchester United

Unknown Wednesday, 20 July 2016 0

 Mshambulizi wa Ufaransa na Juventus Paul Pogba ameomba kuihama klabu hiyo ya Italia. Magazeti ya michezo nchini Italia yamechapisha haba...

Kitu ambacho Maxime atahamanacho kutoka Mtibwa kwenda Kagera Sugar

Mashak Friday, 15 July 2016 0

Kocha wa zamani wa Mtibwa Sugar Mecky Maxime anasema anaimani atafanya vizuri kwenye klabu ya Kagera Sugar licha ya ugumu ambao anataraj...

Mwigizaji Shamsa Ford Adaiwa Kuchumbiwa

Unknown Thursday, 14 July 2016 0

UBUYU uliokolea rangi jijini ni kwamba staa wa filamu Bongo, Shamsa Ford anadaiwa kuchumbiwa na mfanyabiashara maarufu Bongo, Chid Mapen...

Ronaldo aenda kula bata na familia yake kusherehekea ushindi

Unknown Wednesday, 13 July 2016 0

 Baada ya dhiki ni faraja.] Baada ya kuisaidia timu yake ya taifa kuchukua kombe la Euro 2016, Cristiano Ronaldo amesafiri na familia ...

‘Kidogo’ ya Diamond yageuka furaha kwa mashabiki wa P-Square Nigeria

Unknown 0

Wakati ambapo hatma ya kundi la P-Square bado haijulikani, mashabiki wa mapacha hao maarufu zaidi Afrika, Peter na Paul, wamebandikiwa taba...

Ben Pol kuja na Moyo Mashine remix

Unknown Monday, 11 July 2016 0

KING wa R&B Bongo, Bernad Paul ‘Ben Pol’ anatarajiwa kuja na remix ya ngoma yake mpya ya Moyo Mashine akiwa amemshirikisha staa wa k...

Tuzo ya ufungaji bora 'shubiri' kwa Griezmann

Unknown 0

Antoine Griezmann ameshinda kiatu cha adhabu kwenye Michuano ya Euro mwaka huu baada ya kufunga magoli sita na kutoa assist mbili ndani ...

Sentensi za Mama yake Ronaldo Baada ya Kumuona Mwanae Analia

Unknown Sunday, 10 July 2016 0

Usiku wa July 10 2016 mchezo wa fainali ya Euro 2016 ulichezwa na kushuhudia timu ya taifa ya Ureno ikifanikiwa kutwaa Kombe la Euro kwa...

Tatizo kubwa kwa waimbaji wa Bongo Flava kufanana melodies

Unknown Friday, 8 July 2016 0

Hayati  Bob Marley alirekodi takriban album 13 kuanzia mwaka 1965. Ajabu ni kwamba ukisikiliza wimbo wa kwanza katika album yake ya kw...

Mpira mwingi wa Mahadhi wamtikisa Busungu

Unknown 0

MALIMI  Busungu amepona majeraha yake aliyopata katika mechi ya kimataifa baina ya Yanga na GD Segrada Esperanca ya Angola, lakini k...

Yanga yaahirisha kupiga kambi nje ya Dar .......ni baada ya kukosa sehemu stahiki.

Mashak Thursday, 7 July 2016 0

Klabu ya Yanga imeahirisha kuweka kambi nje ya Dar kwa ajili ya maandlizi ya mchezo wao wa kombe la shirikisho Afrika dhidi ya Me...

Bale : Hatujuti licha ya kuaga Euro2016

Mashak 0

 Bale : Hatujutii licha ya kuaga Euro2016 Mshambulizi wa Wales na Real Madrid Gareth Bale amesema kuwa timu yao haijuti kuband...