» » Jerry Slaa Ala Mwereka Tena...Kesi Aliyofungua Kupinga Ubunge wa Mwita Waitara Yatupwa

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO


Mahakama Kuu imetupilia mbali kesi ya kupinga ushindi wa Mbunge wa jimbo la Ukonga Mwita Waitara (CHADEMA) iliyofunguliwa na aliyekuwa mgombea wa CCM, Jerry Slaa. Sababu za kutupilia mbali shauri hilo ni kile kilichoelezwa kuwa ni kufunguliwa kwa kesi hiyo nje ya muda wake.

Toa maoni yako
ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Mashak

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post