» » » Ronaldo aenda kula bata na familia yake kusherehekea ushindi

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO


 Baada ya dhiki ni faraja.]

Baada ya kuisaidia timu yake ya taifa kuchukua kombe la Euro 2016, Cristiano Ronaldo amesafiri na familia yake kwenda kula bata kwenye mapumziko yake kabla ya kuanza kwa msimu mpya wa ligi mwezi Agosti mwaka huu.
Kupitia akaunti yake ya Instagram, Ronaldo alipost picha akiwa kwenye ndege binafsi akisafiri na familia yake na kuandika: “Travel with family ✌️👌❤️❤️💋🔝. Mood❤️❤️.”

Ronaldo amefanikiwa kuweka rekodi kadhaa kwenye michuano ya Uero mwaka huu ikiwemo kufikia rekodi iliyowahi kuwekwa na Michel Platini ya kufunga mabao tisa kwenye michuano ya Uero, mchezaji aliyecheza mechi nyingi kwenye michuano ya Uero, mchezaji aliyecheza mechi nyingi kwenye timu ya taifa ya Ureno, mchezaji wa kwanza kufunga kwenye Euro nne tofauti, na nyingine nyingi alizoziweka mwaka huu.
ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Unknown

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post