» »Unlabelled » DRC yaomboleza mauaji

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO
Waasi wa ADF

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo hii leo inaadhimisha siku tatu za maombolezi kufuatia mauaji ya raia 30 siku ya Jumamosi.

Jeshi limelaumu waasi wa ADF kwa vifo hivyo katika kijiji cha Rwangoma karibu na mji wa Beni Kaskazini mwa mkoa wa Kivu.

Serikali na Umoja wa Mataifa umelilaumu kundi hilo kwa ghasia za kila mara katika eneo hilo.
Makumi ya waandamanji walikongamana mjini Beni baada ya shambulio hilo la siku ya Jumamosi.

Wakibeba mmoja wa mwili wa waathiriwa hao ,waliimba nyimbo dhidi ya serikali kulingana na shahidi aliyezungumza na kituo cha habari cha AFP.

Jeshi limelaumu waasi wa ADF kwa vifo hivyo katika kijiji cha Rwangoma karibu na mji wa Beni Kaskazini mwa mkoa wa Kivu.

Serikali na Umoja wa Mataifa umelilaumu kundi hilo kwa ghasia za kila mara katika eneo hilo.
Makumi ya waandamanji walikongamana mjini Beni baada ya shambulio hilo la siku ya Jumamosi.

Wakibeba mmoja wa mwili wa waathiriwa hao ,waliimba nyimbo dhidi ya serikali kulingana na shahidi aliyezungumza na kituo cha habari cha AFP.
ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Unknown

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post