» » Kazimoto wa Simba kupanda kortini leo

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO


Dar es Salaam. Kiungo wa Simba, Mwinyi Kazimoto anatarajia kupandishwa kizimbani leo mjini Shinyanga kujibu tuhuma za kudaiwa kumpiga mwandishi wa Kampuni ya Mwananchi Communications LTD (MCL), Mwanahiba Richard Februari mwaka huu.

Kesi hiyo ilianza kusikilizwa na Hakimu Rahim Mushi katika Mahakama ya Wilaya ya Shinyanga Februari, mwaka huu.
ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Mashak

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post