ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO
Saa saba mchana jana hapo chuo kikuu dodoma kwenye mlima maarufu uliopo
karibu na jengo la CHIMWAGA uitwao mlima chimwaga kumetokea ajali mbaya
ya gari la abiria baada ya kushindwa kupanda mlima,chanzo kamili cha
ajali bado hakijapatikana.kwa taarifa zilizopatikana ni kwamba watu
takribani kumi na sita hali zao si nzuri na wamekimbizwa kwenye hospital
ya mkoa wa Dodoma GENERAL,taarifa kamili juu ya habari hiyo endelea
kuwa nasi.
ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO