Takriban wafanyakazi 2,900 wamegoma huku wakidai nyongeza katika mishahara yao.
Msemaji wa muungano wa kibiashara na wafanyakazi Oliver Richardson alieleza hali ya wafanyakazi hao na kusema kuwa wengi wao hulazimika kufanya kazi mbili kwa kuwa mishahara yao haitoshelezi mahitaji yao .
Richard alifahamisha kuwa wafanyakazi katika shirika la British Airways wanalipwa mishahara iliyo duni sana .
Wafanyakazi hao walitoa wito kwa mamlak kuongeza mishahara yao ya kilamwaka kwanzia Euro elfu 21 hadi euro elfu 25 .