» »Unlabelled » Baba amvunja Mwanae Mkono....Ni baada ya Kuchelewa kutoka Shuleni

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO
Uongozi wa serikali ya kijiji cha Korini kusini wilaya ya Moshi Mkoani Kilimanjaro unamsaka mkazi wa kijiji hicho Deo Manga kwa tuhuma ya ukatili dhidi ya mwanae Dorini Manga kwa kumvunja mkono wa Kushoto
Mtoto Dorini Ni mwanafunzi wa darasa la Kwanza katika shule ya msingi Kiwalaa na alichapwa fimbo na baba yake mzazi hadi mkono kuvunjika na kisha baba yake kutokomea
Mwalimu mkuu wa shule ya msingi anakosoma mtoto huyo Evance Tarimo amekiri kutokea kwa tukio hilo
Mtoto Dorini ameelezea sababu za kufanyiwa ukatili huo na baba yake mzazi kuwa ni kuchelewa kutoka shuleni

Mwenyekiti wa kijiji hicho Emanuel Mrema ameahidi mtuhumiwa huyo kukamatwa ili afikishwe kwenye vyombo vya sheria kujibu tuhuma zinazomkabili
ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Mashak

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post