» »Unlabelled » Muswada wa Habari kuwasilishwa bungeni bila maoni ya wadau

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

Dodoma. Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari wa mwaka 2016, utawasilishwa bungeni bila maoni ya wadau wakiwamo wanahabari ambao hoja yao ya kutaka kuongezwa muda wa kutosha imegonga mwamba.

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma za Jamii, Peter Serukamba alisema jana kuwa  hata alipoongeza muda wa siku tisa, hakuna mdau aliyefika mbele ya kamati yake isipokuwa  Chama cha Wanasheria Tanzania (TLS).

Licha ya wadau hao kutofika, Serukamba alisisitiza  nia ya kamati ni kusonga mbele badala ya kuendelea kupiga kelele na watu aliowaita wanania ya kuukwamisha.
ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Unknown

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post