Geita. Wajawazito wanaofika Kituo cha Afya Katoro wilayani Geita wanajifungulia sakafuni kutokana na upungufu wa vitanda.
Kaimu Mganga Mfawidhi wa kituo hicho, Dk Bahati Nyamachaguli alisema kutokana na uhaba wa vitanda, wajawazito hulazimika kutandika kanga zao na kulala sakafuni.
Zaidi ya wajawazito 20 hujifungua kila siku katika kituo hicho huku kukiwa na vitanda vitatu kwa ajili yao.