» »Unlabelled » Mechi za EPL leo, Leicester ugenini Chelsea

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

 Meneja wa Leicester Claudio Ranieri na Meneja wa Chelsea Antonio Conte

Ligi ya Premia inarejelewa tena leo kwa mechi saba kuchezwa ambapo mabingwa watetezi Leicester City watakuwa ugenini Stamford Bridge kukutana na Chelsea.

BBC Ulimwengu wa Soka itakutangazia moja kwa moja mechi hiyo.
Ratiba kamili ya mechi za leo ni?
Chelsea v Leicester 2:30
Arsenal v Swansea 5:00
Bournemouth v Hull 5:00
Man City v Everton 5:00
Stoke v Sunderland 5:00
West Brom v Tottenham 5:00
Crystal Palace v West Ham 7:30

 Kikosi cha Leicester
Kikosi cha Chelsea

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Mashak

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post