» »Unlabelled » Beyonce aingiza $256m kwenye Formation World Tour

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

Beyonce ameingiza zaidi ya dola milioni 256 kwenye ziara yake ya dunia ya Formation iliyoanza April 27 na kumalizika Oct. 7. Tiketi milioni 2.2 ziliuzwa.

Kwa mujibu wa Billboard, kila show iliingiza wastani wa dola milioni 5.2 na kuhudhuriwa na watu 45,757. Show iliyoingiza fedha nyingi zaidi ni ya London kwenye uwanja wa Wembley July 2-3, ambapo Queen Bey aliingiza dola milioni $15.3 kwa kuuza tiketi 142,5000.

Kwa upande wa Marekani, show ya New York ndiyo iliingiza fedha nyingi zaidi, $11.5m kwa tiketi 73,486 kwenye show mbili.
ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Mashak

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post