» »Unlabelled » Mume aua mke kwa kumchoma kisu

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO


Chato. Mkazi wa Kijiji cha Kisabe kata ya Iparamasa, Sikujua Ally (21) anadaiwa kuuawa na mumewe, Elias Laurent (25) kwa kumchoma  kisu tumboni kisha na yeye kujiua.

Kamanda wa Polisi mkoani Geita, Mponjoli Mwabulambo amesema kuwa tukio hilo lilitokea Agosti 12 saa 7.30 mchana baada ya mwanamke huyo kumtuhumu mumewe kutoka nje ya ndoa, jambo lililozusha hasira kwa Laurent na kumchoma kisu tumboni na kufa papo hapo.

Baada ya kumuua mkewe, Laurent alijichoma kisu tumboni na alikufa njia akiwahishwa Hospitali ya Wilaya.
ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Unknown

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post