» »Unlabelled » Mapacha waliofanyiwa upasuaji kupasuliwa tena

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

Dar es Salaam. Madaktari bingwa nchini wakisaidiana na wataalamu kutoka Misri, wanajipanga kuwafanyia upasuaji watoto pacha waliotenganishwa, Eliud na Elikana Mwakyusa (3) wakazi wa Kasumulu, Kyela mkoani Mbeya.

Katika upasuaji waliofanyiwa awali, waliwekewa njia za dharura na muda mfupi za haja ndogo na kubwa, hivyo wanafanyiwa upasuaji mwingine kuwekewa njia za kudumu.

Ofisa Habari wa MNH, John Stephen amesema upasuaji wa pacha hao umefuatia baada ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) kuanza upasuaji kwa watoto wanane, wenye matatizo ya njia ya mkojo na mfumo wa hewa na chakula.
ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Unknown

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post