» »Unlabelled » Harmonize awajibu wanao sema anamcopy Diamond kila kitu

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

 Staa wa muziki wa bongo flava Dully Sykes aliachia video ya mdundo mpya unaoitwa ‘Inde‘ ambao ndani yake alimshirikisha staa kutokea laber ya WCB Harmonize ambapo katika baadhi ya comments za mashabiki zilionyesha kumwelekea Harmonize wakidai kuwa kamcopy boss wake Diamond katika style za kucheza pamoja na uvaaji wake.

Sasa  Harmonize kupitia account yake ya instagram kaamua kufunguka ya moyoni na kusema
’Mhhh copy! copy! copy!….. mwisho wa siku hata ukinya utaambiwa kunya kama wewe usimcopy Diamond ebwana mzee #simbaavideo ijayo wacha nianze kuvaa Dera maana nguo zote ushazivaa
ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Unknown

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post