» » Ufisadi wa Madawati Wabainika Kilolo

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO



Madawati  yaliyotengenezwa kwa  pesa  za  mfuko  wa   jimbo la  Kilolo ambayo mbunge  wake Mhe. Venance Mwamoto ameyakataa kutokana na  kukosa  ubora  ukilinganisha na thamani ya  pesa iliyotumika 
 Mbunge  Mwamoto  katikati  akikimbia  kwenda  kukagua  madawati  katika   kijiji  cha Nyanzwa  leo


Mhe. Venance  Mwamoto  akikagua na kuyakataa katakata   madawati yaliyotengenezwa chini ya  kiwango
ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Mashak

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post