» » Raymond ashauriwa asiingie kwenye mahusiano ya mapenzi

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO



Msanii wa muziki Raymond ‘RayVanny’ amepokea ushauri wa bure kutoka kwa mashabiki wake wa muziki baada ya kusema ‘sifa ya kuwa bachela ni kujijali mwenyewe’.

Muimbaji huyo wa WCB ambaye hajawai kuweka wazi mahusiano yake ya mapenzi, ameshauriwa na mashabiki wake kuendelea kufanya kazi kwa bidii na kuacha kujiingiza katika mahusiano ya mapenzi kwa sasa.

Kupitia instagram, Raymond aliandika:
Sifa ya bachela kujijali mwenyewe, inataka moyo maana wenzangu wanavalishwa kabisa kama midoli ya dukani lol.
Baada ya kauli hiyo mashabiki wake katika mitandao ya kijamii walitoa maoni haya.


Tgmmichael12
Ucwe na haraka nayo timiza malengo yko ulopanga muda ukion ss natka mupenz n ww kmsaka

Raphaelmilimo
Ahaahahaha safi sana kaka wee komaa na game kwanza achana na hao mashuga mommyzii. Husiwe kama hurmonize kupenda jitu kubwa lilokubuu na kudate

Enijulius
jmn hujatakaa kuwa naee though co sifaa Kama haujawa tayar wala ucwe na haraka mwaya @rayvanny

sarahpaul6650
Cha msingi muombe Mungu mbn utavishwa tu pia utalishwa yan kila kitu utapata

Johnjenifarr
Usjali wala usiwe na haraka na mambo hayo yapo tuu… one day yess❤❤👍

Madadi.mohammedi
Aya bhana sema ww utatuacha kwenye chama cha ubachela mda cmrefu maana ushakuwa star watt lazima wa shoboke
ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Unknown

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post