Mechi moja tu ya kirafiki siyo kipimo kabisa kwa kikosi cha Mourinho, na alikuwa akihitaji mechi ya Derby dhidi ya Manchester City ili kuangalia makosa ya mechi iliyopita ya kichapo cha 4-1 dhidi ya kwa Borussia Dortmund, lakini mvua ikatibua.
Manchester United, imerejea alfajiri ya leo, nchini Uingereza ikitokea China, baada ya kujikuta ikicheza mechi moja tu ya kirafiki nchini humo, kuliko vile walivyopanga.
Mchezo wa Debry na mahasimu zao, Manchester City uliokuwa upigwe jana jijini Beijing umeahirishwa baada ya mvua kubwa kunyesha na uwanja wa Bird's Nest kujaa maji.
Kabla ya hapo, kikosi cha Jose Mourinho, kimejipima kwa mechi moja ya kichapo cha mabao 4-1 kutoka kwa Borussia Dortmund mjini, Shanghai, ijumaa iliyopita.