» » BREAKING NEWS..! !AJALI: Treni yagongana na gari la UDA eneo la Gerezani - Kariakoo, Dar

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO
Ajali mbaya sana imetokea mda huu kariakoo gerezani watu sita wamepoteza maisha apo akiwemo konda wa kampuni ya Uda dereva kakimbia Mungu awalaze mahali pema wote waliopoteza maisha




ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Unknown

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post