ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO
Mwanamke anaweza kuishi katika ndoa au mahusiano bila kucheat kwa
asilimia 99 na wanaume wanaweza kuishi bila kucheat kwa asilimia 1 kwa
sababu ni nature ya mwanaume kuwa hivyo.Kwahiyo ukiona mumeo au mpenzi
wako hujamkamata inabidi umuheshimu saaana kwasababu anafanya kwa
umakini na usiri wa hali ya juu ili asiumize hisia zako.wanaume
wasiochet ni wale wagonjwa na makasisi wacha Mungu tu. Wengine wooote
tupa kule.
Huu ndio ukweli mchungu kuhusu wanaume, Na ukweli unabaki palepale kuwa
asilimia 99 ya wanaume wanatoka nje ya ndoa au mahusiano yao tena bila
kuwa sababu ya msingi they just do haimaanishi kwa kufanya hivyo
hawawapendi wake zao bali ni maumbile yao ndio yanawatuma hivyo. Kwahiyo
kama umeolewa au una mpenzi ukimakamata na mwanamke mwingine usimhukumu
kwa KUCHEAT bali mhukumu kwa KUCHEAT KIPUMBAVU mpaka akakamatwa wakati
wenzake wanacheat na hawakamtwi.
najua kuna mikunguru minafiki itakuja hapa na kubisha ila ukweli ndio huo - By Dr JJ MWAKA
ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO