» » Hivi Wachumi Wetu Soda na Sigara Kuwa Chanzo cha Mapato ni Aibu Toka Tupate Uhuru 1961?

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO


Ni aibu kwa wachumi wetu kuendelea kutegemea soda na sigara kama chanzo cha mapato toka nchi ipate Uhuru 1961.

Nchi za Afrika Mashariki ikiwemo Kenya ilikwisha acha kutegemea chanzo hicho kwani kimeonekana ni kuwatesa wananchi wake.

Nilitegemea wachumi wetu wangefuta misamaha ya kodi inayotolewa kwa wawekezaji na wafanyabiashara wakubwa
ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Mashak

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post