Studio ya Wasafi Records yasimama kufanya kazi zake kwa muda kutokana na marekebisho yanayofanyika ndani ya studio hiyo, Diamond amethibitisha.
Kupitia akaunti yake ya instagram, Diamond ameandika:
I can’t wait to present to you our @WasafiRecords New Look!…. Still on the Making though
(Tumesimamisha huduma za Studio kidogo kwa sasa tunafanya marekebisho ili tuzidi kuwapatia kazi bora na hata muonekano mzuri wa selfie tukiwa kibaruani…. inshaallah siku si nyingi tutakuwa tumemaliza….@WasafiRecordsHouse Of Hits!) @red_interiors.
