» » » KUFANYA KAZI BILA KUPUMZIKA HUKUWEKA KATIKA HATARI YA KUPATA KIHARUSI NA MAGONJWA YA MOYO.

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO


Tafiti zinaonyesha kuwa kufanaya kazi zaidi ya masaa 55 kwa week hukuweka katika hatari ya kupata ugonjwa wa kiharusi pamoja na magonjwa ya moyo na akili.

Hii hutokana na moyo, ubongo, neva za fahamu kufanya kazi kwa muda mrefu bila kupumzika hivyo kupunguza huwezo wa kufiri, kutoa maamuzi na kupunguza mzunguko wa damu na chakula kwenye mfumo wa fahamu.
ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Mashak

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post