Dar es Salaam. Hakyanani hakujatulia. Ile kauli iliyotolewa juzi na
mwanahabari mkongwe nchini, Jenerali Ulimwengu kutaka Rais mstaafu
Jakaya Kikwete ashtakiwe mahakamani inatesa mitaani.
Tayari baadhi ya wasomi wametia neno wakisema ipo haja ya kubadili Katiba ili mkuu wa nchi aweze kushtakiwa baada ya kuondoka madarakani.
Wakati wasomi hao wakitoa pia mifano ya wakuu wa ‘kaya’ katika baadhi ya nchi walioshtakiwa walipoondoka na walipokuwa madarakani