CEO wa kampuni ya KWL Management inayowasimamia wasanii wakubwa wa
Marekani wakiwemo Trey Songz na Big Sean, Kevin Liles, amefunguka kwenye
Twitter kuhusiana na ukaribu alionao na Diamond.
Kupitia session yake ya #AskKevinLiles, mtanzania aitwaye Sammy Gratian alimuuliza: Is Tanzanian artist, Diamond Platnumz under your management or possibly working with any artist under your management? #AskKevinLiles.”
Kevin alijibu kwa kupost video akielezea kuwa yupo karibu na Diamond kama washkaji.
“Shout outs to my friend Diamond Platnumz and my whole Tanzania crew,” anasema Kevin kwenye video hiyo.

Rais Mstaafu wa Tanzania mheshimiwa Jakaya Kikwete akiwa mezani na Diamond Platnumz, Dickson Mkama na Kevin Liles jijini New York
Alimalizia kwa kusema, “Hey Diamond check out your boy, holla at me right.”
Diamond hakupuuzia ujumbe huo. Alimjibu Kevin kwa kumwandikia: Hey boss, Am Coming to America next Thursday….i will make sure i see you, thanks for your Major Support my boss.”
Liles aliwahi kuwa Rais wa Def Jam Recordings na Makamu Mkuu wa rais wa Island Def Jam music group kuanzia mwaka 1999 hadi 2004. Aliwahi pia kuwa Makamu Mkuu wa rais wa Warner Music Group.