Na Gabriel Ng’osha, UWAZI
Dar es Salaam: Wanaume katili! Mwanamke aliyejitambulisha kwa jina la Recho Steven, 25, (pichani), mkazi wa Vigwaza mkoani Pwani ametelekezwa gesti akiwa na mtoto na mwanaume ambaye alijifanya msamaria mwema.

Akilisimulia Uwazi mkasa huo akiwa
kwenye gesti hiyo, Manzese, Dar (jina linahifadhiwa), Recho alisema
kabla ya mkasa huo, alikuwa na maisha ya kawaida ila matatizo yalianza
alipoposwa na mwanaume aliyemtaja kwa jina moja la Kimaro.
Alisema aliishi na Kimaro kwa miezi kadhaa ila alipopata ujauzito, mwanaume huyo na wazazi wake walinitenga.
“Nilijitahidi kuvumilia hadi nikajifungulia porini lakini baadaye alinifukuza nyumbani kwao mchana kweupe.
“Nilijitahidi kuvumilia hadi nikajifungulia porini lakini baadaye alinifukuza nyumbani kwao mchana kweupe.
“Niliishi kwa kubangaiza hadi
nilipompata dada aliyenihifadhi huko Vigwaza lakini naye aliniambia
niondoke kwani mumewe alikuwa anakuja nyumbani.
“Kabla ya kuondoka, kuna vijana walikuja
na walinionea huruma kutokana na maneno niliyowaambia, mmoja wao
aliniachia shilingi elfu tano.
“Huyo mwanaume nilikwenda naye hadi kwake Kilimanjaro kisha akanipangishia gesti lakini baadaye alinitaka kimapenzi, nilipokataa, akakataa kunihudumia, nikamuomba anirudishe Dar, akanirudisha na kuahidi kunisaidia kumpeleka mwanangu CCBRT.
Hata hivyo, Uwazi lilimtafuta Kimaro kwa njia ya simu ambaye alikana kumfahamu Recho.
Jitihada za kumpata mwanaume aliyemtelekeza Recho gesti hazikuzaa matunda kufuatia simu yake kutokuwa hewani.
Recho anaomba yeyote aliyeguswa na mkasa wake na ana moyo wa kumsaidia awasiliane naye kwa namba 0678 810 891 au 0657 486 745.
SOURCE:GP