May 19 2016 katika eneo la leo Shekilango Jijini Dar es salaam imetokea ajali baada ya mwendesha bodaboda akiwa na abiria wawili kwenye pikipiki moja akijaribu kulipita gari lililokuwa mbele yake lakini pikipiki ikamshinda na kuanguka, pikipiki hiyo iliyokuwa imebeba Mama na mwanae.
Bodaboda iliyombeba mtoto aliyekanyagwa
Mahali mtoto alipokanyagiwa basi la liendalo haraka.
Mtoto alianguka upande wa barabara za mabasi yaendayo haraka na basi hilo likawa limempitia na kusababisha kifo cha chake