ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO
Watu watano wamefariki dunia baada ya gari waliokuwa wakisafiria kupata
ajali na kupinduka katika eneo la Mwika Mawanjeni Maarufu kama Bar mpya
mkoani Kilimanjaro.
Miongoni mwa waliofariki ni waandishi wawili wa habari mmoja akiwa ni wa
gazeti la Habari Leo Bw. Anold Swai na Mwenyekiti wa UVCCM wilaya ya
Hai, na mwingine ni mwadishi wa habari wa kujitegemea.
ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO