» »Unlabelled » Mose Iyobo na Harmorapa wapeana makavu ishu ya kuitwa nyani

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

 leo January 30 2017 kupitia YOU HEARD ya XXL clouds FM, Soudy Brown ametuletea  inayomhusu Mose Iyobo kumfananisha Harmorapa na Nyani ambapo haya ni majibu ya Harmorapa baada ya hiyo comment.

‘Asante sana Mose kwa kuniita nyani ila akae atambue anamkufuru Mungu kwa sababu ndio aliyeniumba kwa hiyo anavyonifananisha na nyani na mimi nafananishwa na Harmonize pia na Hamornize ni nyani kwa hiyo tuko nyani wawili’-Hamorapa

Mose Iyobo kwa upande wake ameongea yafuatayo, Mimi sioni cha ajabu, kuna mtu anaitwa Simba na anafurahi, kuna mtu anajiita Dudu baya na anafurahi leo mtu kumuita mtu nyani yanakuja maneno mengi, wao wanatukana maneno mangapi na hujasikia nimeenda kusema sehemu’
ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Mashak

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post