» »Unlabelled » Ajibu naye yuko 'FITI' kwaajili ya Yanga leo

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO


Mshambuliaji Ibrahim Ajibu ni kati ya walio tayari kwa ajili ya mechi yao watani wao Yanga, leo.

Simba inaivaa Yanga katika mechi nusu fainali ya ya Kombe la Mapinduzi kwenye Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar.

Ajibu ambaye amerejea nchini wiki iliyopita baada ya kufanya majaribio Haras El Hodood, ameanza mazoezi na wenzake na yuko tayari kwa ajili ya mechi ya leo.

“Ajibu naye yuko fiti, hapa ni chaguo la mwalimu Omog kama atamhitaji,” kilieleza chanzo.


Hata hivyo, kinachoonekana ni chaguo kubwa alilonalo Kocha Joseph Omog kwa kuwa pamoja na Ajibu, wako akina Mohamed Ibrahim, Pastory Athanas, Juma Luizio, Shiza Kichuya na wnegine wengi.

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Unknown

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post