» »Unlabelled » VIEDO: Hii nyumba atakayoishi Obama 2017, ilijengwa tangu 1928

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

 Thursday, December 15, 2016


Maisha ya  Rais Barack Obama baada ya kuondoka Ikulu (White House) au madarakani, July 2 2016, kituo kimoja cha televisheni cha CCN wameonesha video ya nyumba atakayoishi Rais Obama baada ya kukabidhi madaraka January 2017 na kuondoka White House.

Kupitia kituo kikubwa cha TV Marekani na Dunia nzima Rais Obama baada ya kustaafu ataendelea kuishi Washington na atakuwa akiishi katika nyumba yenye vyumba 9, nyumba ambayo inatajwa kuwa na thamani ya dola milioni 6.3 ambazo ni zaidi ya Tsh Bilioni 13.


ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Unknown

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post