Monday, December 12, 2016
Gabo (Kushoto) , Ridhiwani (Kulia)
Mbunge wa jimbo la Chalinze na mtoto wa aliyekuwa Rais wa awamu ya nne wa Tanzania Mh. Jakaya Mrisho Kikwete. Mh. Ridhiwani Kikwete, ampongeza Gabo Zigamba kwa ushindi EATV AWARDS
Kwenye ukurasa wake wa instagram Ridhiwani ameyaandika haya kuhusu ushindi huo, huku akisema kilicho bora siku zote kinajulikana.

