» »Unlabelled » Tanzania kuanza kuvuna maji ya mvua

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO


Waziri wa Maji na Umwagiliaji Gerson Lwenge amesema Serikali imeanza mpango wa kujenga mabwawa maalumu kwa ajili ya kuvunia maji ya mvua ili kukabiliana na uhaba wa maji unaosababishwa na mabadiliko ya tabia nchi.
Tokeo la picha la rainfall
Lwenge ameyasema hayo leo (Jumanne), wakati akizindua mkutano wa Muungano wa Wadhibiti wa Huduma za Maji Kusini na Mashariki ya Afrika (Esawas).

Amesema maji hayo yakivunwa yatatumika katika kilimo cha umwagiliaji na kunywesha mifugo na matumizi mengine makubwa.

"Tanzania tumechelewa sana kuanzisha mpango huu ndiyo maana tunataka kwenda haraka ili tuanze kunufaika na maji ya mvua," amesema.


ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Unknown

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post