» »Unlabelled » Dada yake Michael Jackson abadilisha dini kuwa muislamu

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO



Janet Jackson, amedaiwa kubadilisha dini na kuwa muislamu, kumfuata mume wake, Wissam Al Mana, ambaye pamoja wanatarajia kupata mtoto wa kwanza.300-janetjackson-wissamalmana-jc-1012

Marafiki zake wanaamini kuwa muimbaji huyo mwenye umri wa miaka 50, amekuwa akijifunza dini hiyo na sasa ameslimu.

Chanzo kimoja kimeliambia gazeti la The Sun kuwa Janet anapoenda kuwasalimua ndugu wa mumewe, huenda bila make-up, bila nywele za bandia na huvaaa nguo za kiislamu.pay-heavily-pregnant-janet-jackson

“She feels like she has found a home with her new religion. She has spent a great deal of time studying it,” kimeongeza chanzo.
ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Unknown

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post