» »Unlabelled » Watu 30 wauawa mkusanyiko wa Washia Iraq

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

Mshambuliaji wa kujitoa mhanga ameshambulia mkusanyiko wa Waislamu wa madhehebu ya shia kwenye hema mji mkuu wa Iraq, Baghdad.

Watu zaidi ya 30 wameuawa na wengine sitini kujeruhiwa.

Hema hilo lilikuwa kwenye soko lenye watu wengi kaskazini mwa mji wa Baghdad.

Washia wengi wanaendelea na matambiko ya kuomboleza kama sehemu ya kuadhimisha kuuawa kwa mjukuu wa Nabii Mohammed, Hussein, karne ya saba.

Wapiganaji wa kundi linalojiita Islamic State wamekuwa wakitekeleza mashambulio ya aina hiyo miezi ya karibuni Baghdad huku kundi hilo likiendelea kupoteza udhibiti wa maeneo Iraq.

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Mashak

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post