» »Unlabelled » Ujumbe wa Jackline wolper kuhusu wanaosema ana mimba ya miezi mitatu

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO


Ni October 16 2016 ambapo msanii kutoka kwenye tasnia ya Filamu Jackline Wolper  aliingia kwenye kikaango cha mashabiki wake baada ya kupost picha ikionesha ana ujauzito huku wengi wakiwa na maswali tofauti.
sdew21
Sasa basi staa huyo aliamua kuyaandika haya kupitia ukurasa wake wa instagram na kusema>>Hatimaye nikakavua kale kAmkanda nakukatua kaa mkanda kametengeneza mimba yamiezi mitatu wakti ndo kwanza mwezi ðŸ¤’🤒🤒Mkanda leo ndo mwisho wako tena nakuacha huku huku china ndege aupandi bhana’

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Unknown

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post