» »Unlabelled » Tunda Man afunga ndoa rasmi (Picha)

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

 Madee (kutoka kulia), Tunda Man na mke wake (katikati’ Kassim Mganga pamoja na Dogo Janja

Mkali wa wimbo ‘Mama Kijacho’ kutoka Tip Top Connection, Tunda Man amefunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu aitwae Sabrah

Ndoa hiyo ambayo imefanyika Ijumaa hii huko mkoani Morogoro nyumbani kwa Bi Sabrah, ilihudhuriwa na mastaa wa muziki kutoka Tip Top Connection. Angalia picha.
 Miadee akwa na shemeji yake

 Tunda Man akipongezwa na mtu wake wa karibu


ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Mashak

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post