» »Unlabelled » Simba yaipa kichapo Kagera Suger 2 - 0 uwanja wa Uhuru jijini Dar leo

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

Simba imezidi kujichimbia kileleni baada ya kuichapa Kagera Sugar kwa mabao 2-0 katika mechi ya Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

Simba iemfikisha pointi 23 kileleni baada ya ushindi huo wa mabao yake yaliyofungwa na Muzamiru Yasini na Shiza Kichuya.

MECHI NYINGINE LEO:
JKT Ruvu 1-1 Mwadui
Stand United 1-1 African Lyon
ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Unknown

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post