Real Madrid imeitwanga Real Betis kwa mabao 6-1 katika La Liga, mechi iliyoisha hivi punde.
Madrid walikuwa ugenini lakini walitawala kwa kiasi kikubwa huku nyota wake wengi wakifanikiwa kufunga.
Katika mechi hiyo mabao ya Real Madrid yamefungwa na Raphael Varane, Isco aliyetupia mawili, Marcelo, Karim Benzema na Cristiano Ronaldo.