» »Unlabelled » Profesa Muhongo Akutana Na Wasambazaji Wa Gesi Majumbani Jijini Dar Es Salaam

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

 Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (kushoto) akiongoza kikao kilichoshirikisha kampuni zinazohusika na usambazaji wa gesi majumbani pamoja na watendaji kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC),  Mamlaka ya Udhibiti wa Shughuli za Mkondo wa Juu wa Mafuta (PURA) na Wakala wa Uagizaji wa Mafuta kwa pamoja  nchini (PBPA).

 Watendaji kutoka kampuni zinazohusika na usambazaji wa gesi majumbani wakifuatilia maelekezo yaliyokuwa yanatolewa na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (hayupo pichani).

 Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akisisitiza jambo katika kikao hicho.

Mkurugenzi Mtendaji kutoka Tanzania Association of Oil Marketing, Salum Busarara akieleza jambo katika kikao hicho.
ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Unknown

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post