» »Unlabelled » Mboto: Watanzania wamsamehe Tunda Man kwa kudanganya

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO


 Mchekeshaji wa bongo movie Mboto Haji ameamua kumuombea msamaha Tunda Man kwa kudanganya kumtumia kwenye filamu, Mama Kijacho ambayo haijawahi kufanyika.

Tundaman alidai kuwa wapo kambini wakiandaa filamu hiyo ambayo ni jina la wimbo wake. Kwenye video yake wameonekana Mboto na Riyama.

Akiongea na E-News, Mboto alisema, “Nawaomba mashabiki wa Bongo Flava na bongo movie kumsamehe Tunda Man kwa kauli yake hiyo aliyoitamka ambayo haikuwa na ukweli ndani yake. Hata mimi nimeshamsamehe kwa moyo safi kabisa.”


ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Unknown

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post