» »Unlabelled » Kisiwa cha Latham chaibua mjadala Zanzibar

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

\

Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud Othman 

Dar/ Zanzibar. Wakati Serikali ikisema mzozo wa umiliki wa Kisiwa cha Latham kati ya Tanganyika na Zanzibar ulishatatuliwa, mhadhara kuhusu suala hilo unaendelea, na leo aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud Othman atawasilisha mada kuhusu suala hilo.

Othman atawasilisha mada hiyo kwenye ofisi za Taasisi ya Utafiti wa Sera za Umma ya Zanzibar (ZIRPP) zilizoko nyuma ya jengo la Majestic kisiwani Unguja.

Umiliki wa kisiwa hicho umekuwa na utata tangu 1898 wakati Zanzibar ikiwa chini ya utawala wa Sultan wa Oman na Tanganyika (Tanzania Bara) ikitawaliwa na Mjerumani.
ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Unknown

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post