» »Unlabelled » Bodi ya wadhamini CUF kuwafungulia kesi Msajili, Lipumba

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

Bodi ya wadhamini CUF imefungua maombi ya kufungua kesi katika Mahakama Kuu dhidi ya Msajili wa Vyama vya Siasa,Jaji Francis Mutungi,  Prof Ibrahim Lipumba  na wanachama 12 waliosimamishwa uanachama wa chama hicho.

Katika maombi hayo bodi hiyo inaomba kibali cha kufungua kesi dhidi ya Msajili, Lipumba na wenzake, ili mahakama itoe amri ya kumzuia Msajili asifanye kazi nje ya mipaka ya mamlaka yake kisheria.

Jana wajumbe wanne wa bodi hiyo waliibuka na kuunga mkono msimamo wa msajili wa vyama vya siasa na kupanga kuwakutanisha Profesa Lipumba na Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif  ili kumaliza mgogoro.
ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Unknown

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post