Mwanasoka bora wa zamani Afrika, Emmanuel Adebayor (kushoto) akisalimiana na Waziri Mkuu wa Ufaransa, Manuel Valls mjini Lome, Togo huku akitambulishwa na Rais wa nchi hiyo, Faure Gnassingbe. Hiyo ilikuwa ni katika mapokezi ya kiongozi huyo kutoka Ufaransa