
Shirikisho la mpira wa miguu nchini Tanzania TFF limemtengaza Sebastian Nkoma kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania Bara.
Timu hiyo imepangwa kundi B na timu za Ethiopia na Rwanda huku kundi A likiwa na timu za Uganda,Kenya,Burundi na Zanzibar.
Ni mara ya pili hii michuano hiyo kufanyika ,kwa mara ya kwanza ilifanyika Zanzibar 1986 na wenyeji kwa wakawa mabingwa.
