Rais John Magufuli amemteua Waziri Kindamba kuwa Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa TTCL.
Uamuzi huo umekuja baada ya Serikali kununua hisa zote za Bharti Airtel ambaye alikuwa mbia mwenza wa TTCL na hivyo Serikali kumiliki kampuni hiyo kwa asilimia 100
Kindamba ameteuliwa kushika nafasi hiyo kuanzia leo Septemba 23, 2016.
Taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu, imesema kufuatia uteuzi huo, aliyekuwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL Dk Kamugisha Kazaura atapangiwa kazi nyingine