
Naibu Waziri wa Afya, Dk Hamisi Kigwangalla (Kushoto) na Dk Juma Mwaka (Kulia)
Dk Kigwangalla ambaye amefanya ziara ya kushtukiza katika kiliniki hiyo kama alivyowahi kufanya mara baada ya kuteuliwa kushika wadhifa huo.
Kabla ya Dk Kigwangalla kuingia katika kliniki hiyo kufanya ukaguzi alisubiri kupata kibali cha polisi ili kuweza kuingia ndani ya jengo la Dk Mwaka.
