» »Unlabelled » Aliyeua watu wawili aondolewa adhabu ya kunyongwa na Mahakama

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

Arusha. Mahakama ya rufaa amemuondolea adhabu ya kunyongwa, Nicodemu Daudi(32) ambaye alitiwa hatiani kwa kuwaua watu wawili kwa shoka wakati alipokuwa akigomabana nao kuwadai ujira wa Sh 50,000 .

Majaji ya mahakama ya rufani, Jaji Salum Masati, Jaji Angela Kileo na Jaji Edward  Rutakangwa baada ya kutengua adhabu ya kifo walimtia hatiani mtumiwa huyo kwa kuua bila kukusudia na kuamuru atumikie kifungo cha miaka 7 jela.

Jaji Kileo akisoma hukumu hiyo amesema mahakama ya rufani imekubaliana na rufani na mtuhumiwa huyo, kuwa aliua bila kukusudia kutokana na mazingira ya kosa la mauwaji hayo.

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Unknown

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post