» »Unlabelled » Aliyedaiwa kumuua mkewe kwa nyundo akamatwa

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

Shinyanga.  Jeshi  la polisi mkoani  Shinyanga linamshikilia mkazi  wa Kijiji  cha  Busongo  wilayani  Kahama  anayetuhumiwa kumuua  mke wake kwa kumpiga na nyundo kichwani kisha kukimbia baada  ya kutenda unyama huo.

Kamanda wa  polisi  mkoani  Shinyanga  Muliro  Jumanne amesema kuwa wamemkamata mtuhumiwa  huyo ambaye anadaiwa kufanya  mauaji  ya Monica  Manyabhuluba   kisha  kutoweka  kukwepa  kunaswa  na mkono wa sheria.

Mtuhumiwa  huyo ambaye alifanya mauaji  hayo Agosti  14 mwaka huu kisha kukimbia  amekamatwa leo akiwa Kahama mjini , baada ya taarifa kusambazwa maeneo mbalimbali  na wananchi  kutoa ushirikiano kwa polisi uliofanikisha kumtia mbaroni.
ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Unknown

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post