» » Mzimbabwe atua AZAM FC kufanya majaribio , atabiriwa kuchukua nafasi ya Kipre Tchetche

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

 Mshambuliaji raia wa Zimbabwe, Brian Abbas Amidu ametua nchini tayari kujaribiwa katika kikosi cha Azam FC.

Amidu amesafirishwa hadi mjini Zanzibar ambako Yanga imeweka kambi yake kujiandaa na Ligi kuu Bara msimu mpya wa 2016-17.

Azam FC inahaha kupata straika kwa kuwa mshambuliaji wake Kipre Tchetche amegoma kurejea nchini.
ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Unknown

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post